EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Kila siku nagombana na wife swala la yeye kuweka simu chini ya mto wake..nikishtuka night naona yuko insta,mara tiwter bora tupumue sasa.Nimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.
Pumbu utapiga masaa24 siku7 za week mzee??Acha uzembe piga pumbu utetee ndoa
hahahahaaaaaa,Pumbu utapiga masaa24 siku7 za week mzee??
hahahahahaaaaaaaKaa tayari kuyaona mabadiliko kwenye ratiba ya mboga hapo nyumbani ndio utajua social media zina nguvu.
ndio hivyo mkuuKumbe!
HahahahahaaaKila siku nagombana na wife swala la yeye kuweka simu chini ya mto wake..nikishtuka night naona yuko insta,mara tiwter bora tupumue sasa.
wanasumbua sana hawa viumbeKila siku nagombana na wife swala la yeye kuweka simu chini ya mto wake..nikishtuka night naona yuko insta,mara tiwter bora tupumue sasa.
atoke tu, huyoHuyo ashakuwa na addiction.
Zaidi zaidi atatoka nje kutafuta hela ya bando.
hahahahahaaaaaaa
Wewe kenge kabsaππππ ujui kuwa sms na dakika zimeongezwa kwenye vifurushi? Sahv jiandae kumuona akitongozwa kwa kupigiwa sim had usiku wa manane na tegemea mabadiriko kwenye ratiba za vikoba ndio utajua kuwa ujuiNimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.
Hujitambui wwNimefurahi sana vifurushi kupanda ndoa zetu zipumue weeeee,
Maana mimi na shemeji yenu hapa maelewano yalikua ni zero.
Alikua haambiliki mara facebook, mara Instagram, mara Twitter.
Watu walikua kila sekunde wanatongozana tu mpaka ndoa zetu zinayumba.