Hafeli mtu hapa kwa alama na viwango vipya vya NECTA

kmbise

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
100
Reaction score
36
Wadau mbalimbali wa elimu wamefananisha alama na viwango vipya vya madaraja kwa shule za sekondari na tangazo la Airtel Money 'Hakatwi mtu hapa' kwa kusema alama hizi ni sawa na serikali kuwaambia Watanzania 'Hafeli mtu hapa'.
Source: Tafakari Time - Startv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…