kmbise
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 100
- 36
Wadau mbalimbali wa elimu wamefananisha alama na viwango vipya vya madaraja kwa shule za sekondari na tangazo la Airtel Money 'Hakatwi mtu hapa' kwa kusema alama hizi ni sawa na serikali kuwaambia Watanzania 'Hafeli mtu hapa'.
Source: Tafakari Time - Startv
Source: Tafakari Time - Startv