figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Samia ni mke wa tatu.Naomba kuuliza je mzee ameir alikuwa na mke mwingine?
😅 ... kwamba wanazika siku hiyohiyo na hawahitaji mortuary!sasa hapo jiulize watu kama wanaweza kutoa fedha kujenga mortuary mpya na modern? haya ni maswali muhimu sana kabla hamjaamua ni aina gani ya watu wawaongoze, hawa watu wako tofauti kabisa na dunia iliyopo, na hilo la mortuary ni mfano mdogo sana tu ...
Mungu amlaze mahala pema
Malizia...Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais Samia Suluhu Hassan, amezikwa leo nyumbani kwake Kizimkazi, Zanzibar.
Marehemu Mzee Hafidh amefariki dunia leo alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.
MY TAKE:
Bado hamjasema. Na bado.. na Mtasema.
Chawa waliojua watapiga hela kutokana na msibaa huu, hakuna chawa hata mmoja alopost Graphics ya kutoa pole... Waulimwengu shujaa
View attachment 3665365View attachment 3665366View attachment 3665367View attachment 3665368
Ndio kaacha wajane 2 na watoto 4Naomba kuuliza je mzee ameir alikuwa na mke mwingine?
Mzee alikuwa anaishi na Jini Maimuna.
😂
[/QUOTEalikua na mke mwingine maza ako hakua na mpango nae kivileee
😅 ... kwamba wanazika siku hiyohiyo na hawahitaji mortuary!
Ni kweli kabisa mkuu kuishi na lile jimama chinjachinja ilikuwa inahitaji moyo mgumu sana. Huenda limefurahi ili liweze kuendeleza ufuska wake na lile tipwatipwa la zimbambweNahisi Mzee atakuwa amepitia mateso mengi sana kabla ya kifo chake.
NB: zingatia neno "nahisi" hapo juu ☝️