mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
🧐🧐🤔Huyu mzee alijitahidi sana kuishi na janamke jeuri na dhalili kama hili na inawezekana mzee watu kafa kwa ajili ya kupigwa matukio
🧐🧐🤔Huyu mzee alijitahidi sana kuishi na janamke jeuri na dhalili kama hili na inawezekana mzee watu kafa kwa ajili ya kupigwa matukio
Sasa Hafidh naye wa kuchunguzwa? Mi naona walichewa hata kumzika.. Aalitakiwa azikwe kabla damu haijapoakwa maoni yangu kila kifo kinapaswa kuwa na haki ya kuchunguzwa
Uongo uongo??