kwa nini? kwa hiyo post mortem haina maana in the 21st century? profession yote ya pathology haina maana? hakuna umuhimu wa kujua chanzo cha kifo cha marahemu? vp kama kifo kimetokana na maambukizi ya virus hatari kama ebola viruses ambayo inaambukiza na inaweza kuua mji mzima? how would you know that? hao walioenda kuzika wakirudi bara na ebola kwa mfano si watasambaza dar yote na nchi nzima? sisemi kama alikuwa na ebola lkn najaribu kuelezea umuhimu wa kujua chanzo cha kifo hasa kwa walio hai, kwa karne ya leo ni muhimu sana, kwani kila kitu kipo, vipimo vipo, wataalamu wapo tena waliosomeshwa kwa gharama kubwa, why not? kwa sababu tu ya utaratibu uliotumika karne ya 7 a.d huko ambapo mazingira yalikuwa tofauti kabisa, kulikuwa hakuna regrigaration islam ilainzia arabian desert temperature inafikia mpka 50 degree celcius, ofcourse mazingitra kama hayo inaleta maana kuzika mara moja lkn siyo leo hii.
wakati wa corona tuliona mtu mmoja aliweza kuingiza coro na virusi na kuambukiza nchi nzima au umesahahu khs patient zero? au pia vp kama ni crime. labda aliwekewa sumu i.e assasinated utajuaje? na mahakamani utaenda na ushahidi gani? ...