Hafiz Konkon Leo hii hii ilifaa alipwe kiinua Mgongo chake na aombewe Lifti aondoke na Medeama

Malaika wa Misukosuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2021
Posts
2,470
Reaction score
7,376
Kama Kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo, kiukweli huyo Jamaa ni hakuna mchezaji hapo Ball control 2%, Passing accuracy 0.5%, Shooting accuracy 1%,

Kiufupi Huyo Hafiz hakuna mchezaji hapo leo hii hii ilifaa alipwe kiinua mgongo chake na aombewe Lift kwa Medeama wakamuache karibu na nyumbani aendelee na Maisha mengine akisubiri Timu nyngne iingie mkenge kumsajili.
 
Ki ukweli jamaa anaudhi sana,hata Mimi natumaini medeama watapewa waondoke naye,hawezi badilika huyu hata akipewa mda zaidi Never, "If you know you know"
 
hakika kacheza vibaya sana,sijajua hasa nini kimempata
 
Mbona Mimi namwona ni Bonge la straiker hapo Yanga Yangu.
 
Nikajua kupitia kwa Ayubu mtakuwa mmejifunza kitu. Mtanzania ni Mtanzania tu.
Huyu mchezaji siyo mbaya kama wengi wanavyo mchukulia. Ni vile tu hajaingia kwenye mfumo wa mwalimu Garmond kama ilivyo kwa mastaa wengine pale Yanga. Mfano Farid Mussa, nk.
 
Tulipate lile straika la mediama lililopewa kadi nyekundu jn lina vinasaba vya mayele
Hakuna Mtu pale, nidhamu ni 0 tofauti na Mayele aliyecheza misimu miwili yote Yanga SC akapata kadi ya njano.

Pia hata mechi za kimataifa hakuadhibiwa kabisa ingawa alikichachafya balaa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Nani anamkumbuka 'Ypie'...

Huyu Konkoni na Ypie nani ana nafuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…