pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Mashabiki wa bongo bwana hamjajifunza kwa ayoub lakred kibu denis aziz ki na onana wachezaji nao ni binadamu wana mambo mengi nje ya uwanja huwezi jua nini amekumbana nacho otherwise ungeweka mechi na dakika alizocheza ili twende sawa.Kama Kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo, kiukweli huyo Jamaa ni hakuna mchezaji hapo Ball control 2%, Passing accuracy 0.5%, Shooting accuracy 1%, View attachment 2848609
Kiufupi Huyo Hafiz hakuna mchezaji hapo leo hii hii ilifaa alipwe kiinua mgongo chake na aombewe Lift kwa Medeama wakamuache karibu na nyumbani aendelee na Maisha mengine akisubiri Timu nyngne iingie mkenge kumsajili.