Hafiz Konkon Leo hii hii ilifaa alipwe kiinua Mgongo chake na aombewe Lifti aondoke na Medeama

Mashabiki wa bongo bwana hamjajifunza kwa ayoub lakred kibu denis aziz ki na onana wachezaji nao ni binadamu wana mambo mengi nje ya uwanja huwezi jua nini amekumbana nacho otherwise ungeweka mechi na dakika alizocheza ili twende sawa.
 
Hakuna Mtu pale, nidhamu ni 0 tofauti na Mayele aliyecheza misimu miwili yote Yanga SC akapata kadi ya njano.

Pia hata mechi za kimataifa hakuadhibiwa kabisa ingawa alikichachafya balaa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Nidhamu inarekebishwa tu pia inategemea na uongozi wa timu, kama uliangalia vizuri jn timu nzima ya mediama walikuwa wakigombana wao kwa wao, pia kiongozi wao aliyekuwa benchi la ufundi nae alikula umeme kitu kinachoonesha kwamba timu nzima haina nidhamu.

Akija yanga atafunzwa adabu na atakuwa mchezaji mzuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…