DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba.
Soma > Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025
Tarehe rasmi ya hafla hiyo, ambayo itatambua wanamichezo waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali kwa msimu wa 2024/2025, itatangazwa baada ya kukamilisha maandalizi yote muhimu, ikiwemo uteuzi wa ukumbi wa hafla.
Katika hafla hiyo, zitatolewa tuzo katika makundi yafuatayo:

- Ligi Kuu ya NBC
- Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB
- Ligi Kuu ya Wanawake
- Ligi ya NBC ya Championship
- First League
- Ligi ya U20 ya NBC
- Tuzo za Utawala