Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF )
Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu.
Baadhi ya vipengele hivyo ni;
Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume )
Golikipa bora wa mwaka
Timu bora ya mwaka
Goli bora la mwaka
Kocha bora wa mwaka nk
Tuzo hizo zinatarajiww kuanza Saa 3:00 Usiku kwa Masaa ya Afrika ya Mashariki huku Diamond Platnumz akiwa ni mmoja wa watumbuizaji katika hafla hiyo.
Azam Tv watakuwa mubashara lakini pia unaweza kufatilia kupitia Caf Tv kule Youtube