SOSTENESS J.N
Member
- Feb 13, 2013
- 83
- 19
Wakati wa mabadiliko ya katiba za maisha ya wadau mbali mbali umewadia,wenzangu na mimi bize kukusanya nguo/pamba hata kama za kuazima ili mje mtumkomeshe vibonde,.atakayevaa nguo yake mpya siku ya kuja chuoni ongera yake sana,haya na nyie wenye mademu zenu wazuri imekula kwenu aisee mambo mambo yanabadilika achukui siku 3 mpigie simu usiku utaona user anajisomea getoni,mkopo utainua life status za wadau humu maana hutopata bahati ya kumjua mtoto wa mkulima tena,Mambo ni mambo wajameni mda wa umewadia