Hahaaha, sweet money, NO HUSTLE; I like this guy!

Thats basically what we are doing, everything is underground!

Please! mkuu acha kujipa moyo. Kuna usiri gani hapa kama tangazo lenyewe liko online tena kwenye public forum. Pili yeye ameajiliwa na kampuni ngapi mpaka awe anatoa details za stock excahnge companies? Tatu share price fluctuation siyo kila wakati inatokea kutokana na mambo ya ndani ya kampuni Pia ajue watamshika tu na pesa zenu zitakwenda, na jela juu kwa soliciting inside trading.
 
Sidhani kama neno insider umelitumia vizuri hapa! Broke anawezaje kuwa insider wa makampuni tena kwa uingereza? Nadhani hawa brokers unaowazungumzia wanafanya analysis ya kawaida " Fundamental" or technical analysis then wanakupa advise ya kuuza. Insider ni yule aliye ndani ya kampuni husika ambaye anaweza kukupa tips ya information zenye kuweza kuleta adverse or positive impact kwenye share prices. Mfano; unaweza kupata tip ya audited financials ambazo hazijawa released kwamba kuna loss kubwa sana na hivyo uza shares zako faster. Hiyo ndo tunaita insider info.
Thats basically what we are doing, everything is underground!
 

Hahahaha, hili siyo tangazo, na biashara haifanyiki DSE iko LSE, hakuna detail yoyote ya maana niliyoweka inayoweza kumtia hatiani mtu yeyote, na oh...hakuna illegality yoyote katika hilo, si mimi wala "mshauri" wangu anayeweza kutiwa hatiani, hata anonimity ni kuepuka usumbufu tu....kusema insider simaanishi mwajiriwa wa LSE, Broker, au Kampuni yoyote, ni mtu aliye well informed na mwenye kufanya research za kutosha tu, with knowledge and experience he gets it right most of the time, sisemi kuwa mara zote, mara nyingine inakata mtaji, lakini kwa hakika inakuja kufidia, kama naweza kudeal na mtu nisiyemfahamu its already a risk, kuinvest ni risk pia, I'm ready to part with what I invest!
Asante kwa maoni yako.
 

Uko sahihi mkuu, and he is not even a broker!..."ANAJUA YEYE ANAKOZIPATA HIZO INFO"
 

Sitaki nikukatishe moyo hii ni biashara inayofanyika na watu wanafanya. Kwa maelezo yako yanatosheleza kuwekeza kabisa. Natambua kuwa ni LSE huko DSE si pakupaongelea. Wakati nasoma nilikuwa tempeted sana na hivi vitu. Ila ukishakuwa kidogo na majukumu yakiwa mengi nimeamuwa niwe nafanya calculated risk hata kama b/venture ikibuma nitabaki na assets ambazo nitakapoziuza angalau nipate nusu hasara.
 

Wala haujanikatisha moyo mkuu, im already into this mwezi wa pili sasa, and im loving it!...huwez amini wakati naanza tu ilikata twice, i didnt give up!
 

2000 gbp sawa na tsh ngap?
 
Haya mambo haya!!!!!?.Ngoja nijifunze maaana sielewi elewi Afu ni kitu inamake Sense!!!
 
Hahahaaa...! Kaka nimekusoma vyema. Na nahisi nimeusoma vyema mchezo unavyochezwa. Kama sijakosea ni yale mambo ya underground bussines a.k.a mambo ya kuzimu.
 
Hahahaaa...! Kaka nimekusoma vyema. Na nahisi nimeusoma vyema mchezo unavyochezwa. Kama sijakosea ni yale mambo ya underground bussines a.k.a mambo ya kuzimu.

Lol! kwenye vitunguu kunanipa raha sana kaka!:lock1:
 

Usiogope mkuu, unaweza kuwekeza hata elfu kumi, lakini jinsi sisi tunavyofanya kazi lazima mtu aweke kianzio cha juu kidogo, hata mnavogawana inamake sence, lakini ishu ikienda ndivyo sivyo inakata kwako, siyo mnagawana hasara, HASARA NI YAKO, FAIDA TU NDY INAGAWANYWA!:israel:
 
Haya mambo haya!!!!!?.Ngoja nijifunze maaana sielewi elewi Afu ni kitu inamake Sense!!!

Hilo ndiyo jambo la msingi kaka, sisi wakati tunaanza kuingia huko machimboni tulilia sana kwa sababu tuliingia kichwakichwa, hatukuwa na muda wa kujifunza!....Mpaka sasa unafika sehem una orodha ya watu hata kumi tu wa kukupa direction bure ni jambo la kujivunia, MTAJI NI WATU!
 

Fraud is a crime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…