NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
uliwaza nini*That awkward silence when Abraham and Isaac were walking back home after he tried to sacrifice him.*
Abraham: I love u son
ISAAC: Nyoko[emoji57]
Ila daah, utani na maneno ya Mungu bhana hii sio sawa kabisa, mie sio mkristo ila ktk uislamu hicho kisa kipo, na kuna sikukuu maalum kuhusiana na tukio hilo..Hujaelewa nini? Abraham alitakiwa amchinje Isack lakini akaokolewa na Mungu... Sasa njia Abraham huyo huyo akamwambia Isack kwamba anampenda... Unategemea majibu yake yawe ya namna gani? Utasemaje unampenda mtu uliyetaka kumchinja?
Umeelewa?