Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Mkuu tatizo huyo dogo inaonekana anachuki za kutosaidiwa na huyo ndugu yake, aliweka matumaini makubwa kuliko hata kwa aliye mzaaa sasa hali sivyo ndio haya sasa yanakuja, Inaonesha msingi mbovu kwenye familia yaoNimeuangalia wimbo huu nikabaki najiuliza kua, hivi maneno/mashairi yaliyoko kwenye huu wimbo ni ya kweli ama kilichofanyika ni kazi mojawapo ya sanaa kuburudisha jamii?
Kitu gani?mambo mazito kuna kitu hapa si bure
[video]Sikiliza na wewe hapo