Hahaha Mdogo wa Diamond ametoa singo ya kumdisi diamond

Hahaha Mdogo wa Diamond ametoa singo ya kumdisi diamond

diamond Platnums msaidie dogo bana sio ishu unabaki kuhonga mashori alafu dogo unamsahau.
 
Last edited by a moderator:
diamond Platnums msaidie dogo bana sio ishu unabaki kuhonga mashori alafu dogo unamsahau.
hahahahaha daa diamond kazi anayo sana.

Mrembo by Nature nimesikia my no1 remix yani jamaa kamponda sana diamond.

Hila kwa hili lahuyu sijui mdogo wake lina niache kinywa wazi.

Huwa najiuliza kwa nini kila mtu ana mlalamikia diamond? kuna tatizo gani?
 
Last edited by a moderator:
"wasanii wa bongo muvie anawapanda kama farasi" mepapenda hapo
 
hahahahaha daa diamond kazi anayo sana.

Mrembo by Nature nimesikia my no1 remix yani jamaa kamponda sana diamond.

Hila kwa hili lahuyu sijui mdogo wake lina niache kinywa wazi.

Huwa najiuliza kwa nini kila mtu ana mlalamikia diamond? kuna tatizo gani?

Kuhusu mahusiano ya diamond na ndugu hasa upande wa baba ninahisi kuna shida na mama mtu hamshauri vizuri kuhusu kuwaweka karibu hawa.
 
Aiseeeeee! Hiyo ni kazi ya viuno vingi, mama zao wanamuonea wivu mke mwenzao kupata. Kazi kwelikweli!!
 
Lakini ukiusikiliza vizuri kimsingi mi naona Dogo katumia 80% ya wimbo kumsifu jamaa na kuonyesha jinsi gani amehangaika kiume na anahaki ya kuwa hapo alipo,
1 kaosha vyombo kwa bob jr (wazee walisema mtumikie kafiri upate mradi wako.
2 anabidii na ana force kama jogoo (they say don take no for an answer unapotaka kufikia malengo.I mean kila nikiusikiliza naona maneno machache tu ya ukosefu wa adabu the rest kamsifu kama jamaa hakubali kushindwa and thats whatsup..!
 
Cha msingi atoke tu.hii ndio iwe nyimbo y amwisho ya kukmtukana bro wake next time alete nyimbo kali ya mapenzi
 
dogo ana syle ya uimbaji ila kafeli kutaka kutumia mgongo wa mkali diamond..
 
Hahahahaha! Noumer sana. Dogo Katukana Balaa.
 
Back
Top Bottom