Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
-
- #21
hahahahaha daa diamond kazi anayo sana.diamond Platnums msaidie dogo bana sio ishu unabaki kuhonga mashori alafu dogo unamsahau.
hahahahaha daa diamond kazi anayo sana.
Mrembo by Nature nimesikia my no1 remix yani jamaa kamponda sana diamond.
Hila kwa hili lahuyu sijui mdogo wake lina niache kinywa wazi.
Huwa najiuliza kwa nini kila mtu ana mlalamikia diamond? kuna tatizo gani?
diamond Platnums msaidie dogo bana sio ishu unabaki kuhonga mashori alafu dogo unamsahau.
Shoga hujambo? hivi week end hii ulipata bw....a...na wa kuku.....pu....mu...lia kweli?mbona mipovu inakutoka kama unataka kukata rohoUliwapima DNA?
mimtu mingine bana!!!
Mama Yao mwenyewe alikuwa Muuza pombe chafu, midume ilikuwa inamdandia ikilewa.. Unategemea familia itakuwaje?
ila sidhani kama atasikika kwenye redioHahahahaha! Noumer sana. Dogo Katukana Balaa.