Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Ipo wazi... Walevi wakipotea huwa wanarudi, ila hawa wanywa soda wakipotea tunaaza kuulizia hadi bei za majeneza.
 
Tofauti yetu ni kwamba sisi walevi tuna option ya restore 🤣🤣🤣

Wanywa soda wasipoacha dharau tutawachangia sana rambirambi
Hahaha wanywa vyoda wanajiona wataishi milele🤣 kuna limoja linaomba nilichangie figo eti🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…