Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Bwashee na ugomvi na ndugu ,halafu hawana pesa kunizidi ila wanataka kufanya maamuzi juu yangu Leo nimechukia mno
Bwashee wanapata wapi nguvu za kufanya maamuzi juu yako na pesa ya gambe hawana? Hayo ni matumizi mabaya ya maamuzi..

Tule pombe tu bwashee, tusipangiane maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…