Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Hivi huwa unakunywa pombe?
 
We mzee, ukipotea hata kwa masaa mawili humu lazima tukutafute.

Nikiandika post bila kuona like yako napata mashaka asije Mafwele akawa amekuweka gereji🤣🤣
Bwashee ni ngumu mno hao jmaa kunipata😁
 
Wenzako ndio kwanza tunanyooshwa na kaisari wewe ushajichukulia sheria mkononi huko😁
Maji ambayo nilishatawazia mapupu ndio kwanza wao wana yanawia uso😁😁

Acha tuchome figo , tutapewa miili mipya😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…