Hahahaaah! Watani hongereni kwa kuhamishiwa shirikisho

Hahahaaah! Watani hongereni kwa kuhamishiwa shirikisho

Hahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale

Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu!

Wani wei tu shirikisho... Na kule mnatinduliwa palepale kwny mshono wa marinda box
Wanaenda shirikisho kupitia viti maalum
 
Mara wanakutana na pyramid, au to mazembe au yeyote yule mammaer... Af wananyimwa nauli hawasafiri... Na tareh 27 sisi Kama polisi tz tunawasubir tar 27
Na kule hakuna mnyonge... Wana hali mbaya sana hawa jamaa!
 
Back
Top Bottom