Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaenda shirikisho kupitia viti maalumHahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale
Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu!
Wani wei tu shirikisho... Na kule mnatinduliwa palepale kwny mshono wa marinda box
Huko nako safari ni fupi.Hahahaaah! Walisema wanataka kutubeba tena, sa sijui watatupeleka wapi wakati nao sahv wanagombania viti vya kuteuliwa
Mara wanakutana na pyramid, au to mazembe au yeyote yule mammaer... Af wananyimwa nauli hawasafiri... Na tareh 27 sisi Kama polisi tz tunawasubir tar 27Huko nako safari ni fupi.
Balaa sanaNa kule hakuna mnyonge... Wana hali mbaya sana hawa jamaa!