Hahahah Eti Wana JF ni watu wabishi sana!

Hahahah Eti Wana JF ni watu wabishi sana!

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
Habari 🖐

Leo mida ya jioni nilikuwa zangu Jukwaani kama kawaida nikipitapita kweny thread tofauti, bac kuna mshkaji wangu alikuwa anapita akaja kama kwa nyuma yangu hivi akaona nipo JF.

Mshkaji akaniambiaje, "kumbe na wewe unatumiaga JF? Nikamjibu "Ndio", akasema tena "hivi mwanzilishi wa JF si ndo yule Melo?, nikamjibu tena "ndio", akasema "Aaah yule mshkaji ni mbishi sana, na nahic kawaloga watumiaji wa JF maana kuna watu wabishi sana humo, yaan mmechukua tabia ya mwanzilishi wenu"

Aisee nilicheka sana hadi macho yakawa mekundu 😅 😅 😅
 
Back
Top Bottom