Hahahahahahhahaaaa nauliza tu

sajumo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,834
Reaction score
1,055
Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
 
Hivi huuu utitiri wa avatar za pic za tundu lisu ni uzalendo kwa tundu lisu chama kampeni flani iv au ndio tunamliwaza maana naona jf zmezd mpaka naogopa
Heading yako tu, imekaa kimipasho zaidi. Usitegemee chochote cha maana kwenye Uzi wako
 
Watz hawako politically active,tunapenda tu mastori ya vijiweni. Wee unadhani watu wanampenda yeyote hapo?Ila wanazungumza kama vile wanajaaaali kuliko roho zao.
 
Na wewe weka ya Kinana si unajua alitumwa India kutibiwa hajarudi mpaka leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…