kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,111 May 24, 2019 #1 Wafanya biashara wanajitahidi sana ili kumaliza mifuko ya plastic kabla ya tarehe moja... Nimeenda dukani kununua vocha ya jero nikawekewa kwenye mfuko..[emoji1787][emoji1787]
Wafanya biashara wanajitahidi sana ili kumaliza mifuko ya plastic kabla ya tarehe moja... Nimeenda dukani kununua vocha ya jero nikawekewa kwenye mfuko..[emoji1787][emoji1787]