Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

Its the reason nasema jamaa alikua anamega.

Baada ya kesi kwenda kituoni ubambikaji ukaanzia hapo
 
Amekufa magufuli mahakama zimekuwa huru. Aisee
 
A
Aombe bahati yake hako kabinti kalikua na michepuko mingi,
Lakini na yeye lazima alikua anaka betua ndi maana kalidhani ni ya huyo ndugu yenu

Mwambie aachane na vibinti vya shule atafungwa.
 
Maccm ni mashetani. Hapo walitaka aunge mkono juhudi za yule ibilisi.

Alipokataa wakampa kesi.
 
Nimeumia sana mtu anaenda 30 years kusota kwa kosa lisilo lake halafu mwingne anakula teuzi ya miaka mi 5 tu. Kweli???
 
Wapime DNA ya Sabaya.
 
Inawezekana alimbaka lkn hakumtia Mimba.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unamaanisha baada ya kubakwa, akaenda tena sehem nyingine kutoa mzigo?
 
Kwasababu binti alikua anamegwa na mtu zaidi ya mmoja
... sijui tukuamini wewe au mmegwaji? Binti chini ya kiapo kaieleza mahakama hajawahi kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote maishani mwake zaidi ya mshitakiwa! Huelewi ama?
 
... sijui tukuamini wewe au mmegwaji? Binti chini ya kiapo kaieleza mahakama hajawahi kufanya mapenzi na mtu mwingine yeyote maishani mwake zaidi ya mshitakiwa! Huelewi ama?
Kama unamuamini mmegwaji anayesema hajawahi kumegwa na mwingine zaidi ya mtuhumiwa so huyo mtoto kua na DNA ya mtu mwingine inamaanisha nini?

Haimaanishi kwamba alikua ana mtu mwingine?

Kwa hilo utamuamini yeye au logic?
 
... ndio maana nikasema ni mchezo mchafu!
 
Unapongezaje pande zote mbili ukiwemo huo upande wa mashtaka ambao umeshiriki kuandaa mashtaka ya uongo? Yaani wewe ni Wakili Msomi, halafu unaongelea vitu kwa wepesi wepesi tu!

Vipi kama huyo Diwani angehukumiwa miaka 30 gerezani kwa hilo kosa la kubambikiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…