Hai: Lengai Ole Sabaya na Freeman Mbowe Uso kwa Uso. Watoa ya moyoni

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.

Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu.

Nae sabaya alipopata nafasi ya Kutoa salaam kwa wanachi wa wilaya hiyo,ambapo alihudumu kama mkuu wa wilaya kabla ya Kusimamishwa,°Amesema huko Gerezani amejifunza mambo mengi na amekua mtu mpya baada ya kukutana na uso wa MUNGU

Mbowe na sabaya walikua katika

msuguano wa mara kwa mara hasa baada ya Mbowe kudai kwamba sabaya alitumia ubabe ili asiweze kuwa mbunge
 
Mkuu.... mwanasiasa anae zikwa tu ndio wakuamini, maana unaweza ukamuamini aliekufa kumbe kafumba tu macho...🤣
 
Mkiti msaafu wa Chadema Freem mbowe wamekutana na mkuu wa wilaya ya Hai Mstaafu Lengai Ole Sabaya katika msiba wa Mama yake mbunge wa Hai Saasisha Mafuwe.

Katika Msiba Huo,mbowe amesema yeye ameshamsamehe sabaya kwa mambo yote kwa hakuna mwanaadamu mkamilifu.

Nae sabaya alipopata nafasi ya Kutoa salaam kwa wanachi wa wilaya hiyo,ambapo alihudumu kama mkuu wa wilaya kabla ya Kusimamishwa,°Amesema huko Gerezani amejifunza mambo mengi na amekua mtu mpya baada ya kukutana na uso wa MUNGU

Mbowe na sabaya walikua katika
View attachment 3578428
msuguano wa mara kwa mara hasa baada ya Mbowe kudai kwamba sabaya alitumia ubabe ili asiweze kuwa mbunge
Nimesahau, hivi Mbowe na Sabaya waliposhana wapi katika siasa akiwa DC?
 
Back
Top Bottom