Miss Jf2018
Member
- Nov 27, 2018
- 37
- 50
Habari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
Asanteni natokea mkoani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteKaribu
Njoo pm nikuone vizuriHabari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
Huyo ndo naniPoa. Karibu Jf mimi na Mexece Melo ni mtu na mdogo wake so jisikie huru kuniuliza chochote.
ThelathiniUna miaka mingapi?
Pm ndo wapi, samahani lakiniNjoo pm nikuone vizuri
Wa aina ganiNaomba urafiki na wewe
Kumbe umeenda age kidogo,umeolewa?Thelathini
BadoKumbe umeenda age kidogo,imeolewa?
Pm ndo wapi, samahani lakini
Kwann mpaka sasa mama?Una mtoto?Bado
Habari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu
Asanteni natokea mkoani
Kwa hiyo huku ukitaka kumuandikia mtu inbox ndo unasema pm???Sawa na inbox,
Thelathini
Nina mtoto ndiyoKwann mpaka sasa mama?Una mtoto?
SawaKaribu sana mkuu kwa ushauri zaidi mtafute mtu anaitwa
(Nleterewa nganengo)atakuelimisha zaidi