hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
V
Vibaya sanaMwaka huu wamepataikana
Vibaya sanaMwaka huu wamepataikana
Hahaha Mkuu kwani hujui?Tuangalie ya owetu 10,000 massacred, innocent ones! Akili zenu zinakuopeleka Israel! Rubbish!
Nipo mbande Jerusalem mie myahudi😁Na wewe upo Jerusalem au mbande !?
Aaghh kumbe wewe sio myahudi !!?Nipo mbande Jerusalem mie myahudi😁
Hawa ni wale wale Makafiri timu kitima ni Bora waliangamizwa maana wizi umepungia mitaani.Tuangalie ya owetu 10,000 massacred, innocent ones! Akili zenu zinakuopeleka Israel! Rubbish!
Nimeiona hii habari Bbc SwahiliIran imeendelea kuikanya Israel kwa kuitwanga Makombora tiifu yanayotekeleza maangamizi bila huruma. Israel na viunga vyake imeingia gizani.
BREAKING NEWS
🇮🇷IRAN has blown up the Haifa power plant with a ballistic missile.🚀🔥🇮🇱
With the destruction of this 828 MW power plant, half of Israel is living in darkness.💣🇮🇱
Si mlisema Israel inazuia habariIran imeendelea kuikanya Israel kwa kuitwanga Makombora tiifu yanayotekeleza maangamizi bila huruma. Israel na viunga vyake imeingia gizani.
BREAKING NEWS
🇮🇷IRAN has blown up the Haifa power plant with a ballistic missile.🚀🔥🇮🇱
With the destruction of this 828 MW power plant, half of Israel is living in darkness.💣🇮🇱
Sa ukitaka kujua hio bibilia ya mkosa nyumba aliye ishia kulala njia panda ya street ya Jerusalem na Damascus pale kwenye mkunazi. Paulo aliliota shetani akasema ni Yesu ndio aliye andika gazeti sijui tolea linasema ataye igusa Israel nitamdhuru na hakuna atakaye weza mdhuru.Kaka na video umetuwekea kabisa mambo ya evidence Hautaki kubishana na mtu
Wana wa Mungu wa mchongo sijui wata waambia nini watu
Maana wali wadanganya watu kuwa wao ni super power and sijui ni promised land ni untouchable wana lindwa na mungu kumbe ni waongo Iran kaja kuwaumbua 😁😁
Aibu kubwa sana mwaka huu Anga la Israel limekuwa kama chujio tu kama sio Tenga la nyanya , Yaaani shwaaa shwaaaa !!! Imoooo
Walokole wa mbande watasema hiyo ni AI 😄😁