Haifa Power Plant inayotoa 828 MW imelipuliwa na kubaki majivu

Nimeiona hii habari Bbc Swahili
 
Si mlisema Israel inazuia habari
Hiyo umeitoa wapi
 
Sa ukitaka kujua hio bibilia ya mkosa nyumba aliye ishia kulala njia panda ya street ya Jerusalem na Damascus pale kwenye mkunazi. Paulo aliliota shetani akasema ni Yesu ndio aliye andika gazeti sijui tolea linasema ataye igusa Israel nitamdhuru na hakuna atakaye weza mdhuru.

Walicopy line ya vitabu vya Mungu vikimuongelea Nabii Yakobo ambaye kwa jina lingine anajulikana kama ni Israel. Mungu sialisema atakaye mdhuru Yakobo namimi nitamdhuru wao wakaileta kwenye taifa alilo liunda Muingereza wakalita Israel na wakadai eti taifa teule.

Mkristo angekuwa na akili angesema mtoto wa Mayam ni Mungu au mtoto wa Mungu.

Wacha wapigike hao kondoo walio potea.


View: https://youtube.com/shorts/BNbL8JimRCk?si=qYns2h3buPCSD0ku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ