Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa.
Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt.
Hiyo ni tabia mbaya na roho mbaya. Haifai. Kuwa na mazungumzo ya shangwe utaona watu wanavyokupigia na kupokea simu zako.