gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
TAnzania inapita katika kipindi kigumu sana sasa. Hii ni kwasababu siasa imeingizwa kwenye dini na dini kwenye siasa. Watu wanaongea kwasababu tu wanataka kujulikana. Unashangaa unaposikia askofu mkubwa anapominyauhuu wa kimawazo wa viongozi wenzake na kua kulie na mawazo yake tu. Hii ni nchi ya kidemokrasia ambayo maana yake kila mtyuko huru kuchagua yupi aungane naye na yupi asiungane naye. Aunge mkono kpi na apinge kipi. Lakini pamoja na uhuru huu imengia tabia ya mashinikizo unapomsikia kiongozi wa dini anasema kuwa ntawashawishi waumini waikubali au kuikataa katiba eti kwasababu haijaweka kitu fulani unawaza mara mbili mbili anaongea baada ya tafakari au kuna kitu cha ziada?
Inapofikia hatua dini kubwa mbili zinakinzana kimsimamo juu ya jambo gani liwemo au lisiwemo kwenye katiba ni hatari zaidi. Viongozi hawa tunaowaamini sana wanachochea moto mkubwa halafu wenyewe wanakaa pembeni. Embu jamani tujiulize kama dini zote zinahimiza upend