Haihitaji elimu kuelewa kuwa wasanii wananunua 'views' YouTube

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
378
Take little look ya hizi video mbili ya ommy alioachia wiki imepita na video ya cokestudio walioachia cku tatu kama cyo mbili zilizopita,l

Video ya ommy INA views 611k na video ya coke studio INA views 76k

Nachotaka muone ni trending namba ya video inayotrend kutazamwa kwa ss u tube Ommy #3 then cokestudio #1

Apo views haziusiki maana ommy anamzid cokestudio kwa views, hivi kwa u halisia huu baada ya wik moja iyo video ya cokestudido ikipita views video ya ommy atasema wananunua views???

Maana uhalisia wakununua views ni kwamba video haitrend kutazamwa lakin inaonekana INA views nyingi

Huo ni mfano wa video nmetoa cjamanisha ommy kamzungumzia Diamond, Nachotaka kuwapa ushauri wasanii wetu " nyimbo kuhit bila kiki inawezekana "

88b5571f6e0a04472051a44931ca3ad2.jpg
507bb0b6ceb8bd019e699a6ca0bd412a.jpg
 
Lakini bado hiyo video ya coke studio ziko sehemu tofauti sio akaunti moja... Yan ukisearch unaipata kwenye account tofauti
nmeweka iliyokua uploaded na cokestudioSA, ndyo namba moja inayotrend kwa ss YouTube
 
  • Thanks
Reactions: MC7
inaonekana uelewa wako wa video trending za youtube ni mdogo sana... kama ulkua unafatalia vizuri, hiyo nyimbo ya dimpoz ilishika namba 1 siku tu baada ya kuwekwa youtube, imekuja ku drop after 4 days.. nyimbo inakua ranked #1 katika trend endapo itaangaliwa na watu wengi in a short time,, usishangae hata leo joti akaweka video yake na kesho asubuhi ukaikuta #1
 
Issue ya kununua views ipo na hili nililithibitisha kwa msanii wa ommydimpoz huyo huyo yule anaitwa neddy, dogo ile video yake aliyomshirikisha ommy ilipata views milion 1 ndani ya siku 11, ilhali ata boss wake hajawahi kufikisha views milion 1 ata ndani tu ya mwezi mzima, sasa je neddy ana mashabiki wengi kuliko ommydimpoz? Je neddy ni maarufu kuliko ommydimpoz? Majibu yote ni hapana

kibaya zaidi video iliyotazamwa mara 1 m kwa siku 11 leo hii ina miezi 6 ndo jumla ina views mil 1 na laki 3, sasa swali je ingekuwa ni views halali ndo katika miezi 5 yote waongezeke views laki 3
tu, ingekuwa ni haki wale views saizi angekuwa na mil 3 au kidogo 2.5, haiingii akilini upate views milion 1 ndani ya siku 11 alafu uje kupata ongezeko la views laki 3 kwa muda wa miez 6

NB. Sina hakika kama wasanii wengine wananunua ila kwa hapa ommydimpoz hana cha kujitetea nayeye ni muhusika na hadi kasema issue ya kununua viewers hicho ni kiashiria tosha kuwa nayeye mchezo huu anaujua
 
Inawezekana unachokisema unakielewa au umedandia treni kwa mbele,sasa jibu haya maswali bila kupindisha majibu. Toa maelezo jinsi zinavyonunuliwa, na ni bei gani .................Je,msanii anayenunua viewers yeye ananufaika na nini .............???
 
Akina Psquare wanamashabiki karibu Africa nzima na nje lakini Bank Alert haijapata views nyingi kama akina Dimpoz ambao base yao kubwa ni bongo tu! ati ndani ya siku mbili tatu view million! I smell a rat somewhere.
 
Inawezekana unachokisema unakielewa au umedandia treni kwa mbele,sasa jibu haya maswali bila kupindisha majibu. Toa maelezo jinsi zinavyonunuliwa, na ni bei gani .................Je,msanii anayenunua viewers yeye ananufaika na nini .............???
We nae ushakuja na mambo yako ya utimu, hv kwani nimemtaja Diamond hapo? Au hadi tubishane tu ndio roho yako iridhike, me nimeandika kuhusu ommydimpoz na nimetoa na maelezo kwanini nahisi alinunua viewers, hayo majibu ya wananunua shingapi na wanafaidika vipi kamuulize ommydimpoz coz ye amesema alimtumia mtu link ya wanjera na video ilikuwa na viewers laki 9 then akakuta milion 1. So yeye kama msanii kaishatoa ushuhuda
 
Kaka wapi nimemtaja DIAMOND ........halafu hii ni JF ukiandika kitu kama watu hawajakielewa ni lazima watake kueleweshwa.Lakini pia najua aliyesema ni Dimpoz na wewe mwenzangu kama umemuelewa,na ndio maana umemuunga mkono kwa alichokisema,sasa mimi nakuuliza wewe uliyeelewa unieleweshe mimi nisiyeelewa,na hiyo ndio mantiki ya wewe na mimi kujiunga JF,ili tuelimishane kwa yale tunayoyajua. LAKINI KUJIBU AU KUTOKUJIBU NI HIYARI YAKO SI LAZIMA,SWALI LITABAKI HIVO KILA MTU ANALIONA KUWA WEWE UMEONGEA KITU ULICHOSHINDWA KUKITOLEA MAELEZO,NI HIVO TU HUSIANDIKE KAMA KUNA UGOMVI VILE.
 
Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa

Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
 
Umekurupuka na wewe hakuna nyimbo ya harmonize iliyotoka hivi karibuni iliyoizidi viewers bank alert ya psuare.
Nenda kafanye reseach tena bank alert ina viewers zaidi ya m5 kwa sasa na imetoka juzi juzi tu
 
Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa

Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
Kumbe
 
Nirahisi kupata viewers wengi tanzan ia kuliko inchi yoyote afrika hata kura za kwenye mitandao nyingi zipo huku ndio maana kiba alimshinda wizkidi
 
Ni mjinga tu atakaekubali kuwa Mwanamuziki wa bongo anaweza kupata viewers wengi YouTube kuliko wakina Davido,P.square,AkA,Casper vyovest na wasanii wengine wakubwa wa africa

Maana inashangaza wakina Diamond,Harmonize wawe na Viewers wengi kuliko wimbo wa Bank Alert wa P.square wenye mashabiki all over the world
Wewe ndio unafuata upepo tu,maana hata kinachoongelewa hukijui.
 
Nini faida ya kuwa na viewer wengi au followers wengi?
 
Kampuni inaweza ikakodi watu ambao kazi yao itakua ni kutoa maoni juu ya huduma inayotolewa na kampuni husika, yaweza kua hoteli au app mpya. Hiki kitu ni illegal (as far as I know) kwahiyo hufanyika kwa siri.

Kama hilo la juu linawezekana sioni wapi watu watashindwa kununua views, sijui ni kwa kiwango gani youtube ina uwezo wa kuzuia robots lakini mtu ambaye yuko vizuri kwa kuwatengeneza robots obviusly atawatumia katika shughuli kama hizi.
 
Back
Top Bottom