Uchaguzi 2020 Haihitajiki Kampeni kwa Lissu kushinda urais

Uchaguzi 2020 Haihitajiki Kampeni kwa Lissu kushinda urais

Kaijage usipompitisha Lissu utatujibu sisi walipa kodi tunaolipa mshahara wako.
 
Lissu kashashinda uchaguzi...kilichobakia ni kuutetea na kuupigania ushindi wake usiporwe na mabeberu weusi.
 
Asubuhi mapema hiyo tarehe 28 October tunamkabidhi nchi Mh Lissu. Huyu ndiye tumtakaye.
 
Tatizo la kufikiri ukimuweka wizara ya fedha mhadhiri akidhani theory inaendana na practice. Hakuna kitu kama hicho katika uhalisia
 
Wagombea urais lazima wapitishwe na tume august 26
 
Mapinduzi duniani huwa hayafanywi na watu wote bali hufanywa na wachache waliojitoa kwa ajili ya watu wote.

Fidel Castro au Che Guevara waliongoza mapinduzi kuwatoa watawala madikteta ili wananchi walio wengi waweze kuishi maisha yenye uhuru na maendeleo.

Waoga kama wewe mtoa post endleeni kukaa makwenu, waachieni akina Lissu wafanya kazi waliyojitolea.
Mi nimekuombea mungu tu azidi kukutia nguvu mzee baba hasa kwenye maisha binafsi kwa ujasili ulio nao maswala ya uoga yanatokea wapi
 
Wengine ni wakulima huku Kibondo hatuhitaji teuzi tunataka utawala wa haki.
Utawala wa haki unafananaje na usio haki unafananaje? We umetimiza wajibu kwa kiasi gani kabla hujaitaka hiyo haki?? Hakuna haki bila wajibu.
 
Utawala wa haki unafananaje na usio haki unafananaje? We umetimiza wajibu kwa kiasi gani kabla hujaitaka hiyo haki?? Hakuna haki bila wajibu.
Wajinga ni wote tuwe na kadi za CCM ili kupata ajira?
 
Ukiona Mtu anafungua ID mpya ya jana halafu leo anakuja na hojja nzitonzito tambua kuwa haamini katika anachoongea bali anafanya mzaha na maigizo kama huyu mwenye ID zinazoanzia na P zimesajiliwa jana ni mwendo wa kuropoka tuuu!
Kura zetu wadau wachache wa Mitandaoni hazitufikishi popote, tujikite Vijijini hukoo kwa Wajumbe
 
Mi nimekuombea mungu tu azidi kukutia nguvu mzee baba hasa kwenye maisha binafsi kwa ujasili ulio nao maswala ya uoga yanatokea wapi
Uwe jasiri au muoga kifo huwezi kukikwepa. Nafuu kufa unapambana kuliko kuishi unapiga magoti.
 
Wajinga ni wote tuwe na kadi za CCM ili kupata ajira?
Hakuna mahali umeambiwa upate ajira kwa kadi ya ccm..asilimia kubwa ya waajiriwa ni upinzani kama hujui..ndio hao wanaoichukia serikali kwa sababu wanataka
1. waongezewe mishahara
2. Wapandishwe vyeo
3. Wapate posho
4. Wapige dili
5. Wasibanwe kwenye kazi
6. Wapokee rushwa
 
Ni kweli ni wakati huu wa awamu ya tano nimeweza kununua viwanja vitatu jijini dar kwa bei nafuu sana na kujenga nyumba moja kwa bei chee. Yaani mafundi wanagombania kazi hadi wanapunguza bei wenyewe kwa kushindana ili wapate kazi. Ilifika mahali Fundi Mkuu pesa niliyompa haitoshi kulipa auxillary technicians wake. Mpaka namuonea huruma namuongeza pesa kiroho safi tu nje ya makubaliano.

Hali ni mbaya mno.

Wachumia tumbo hili hawalijui.
 
Back
Top Bottom