Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mkuu tudikeze baadhi ya hayo makampuniKwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?
Nadhani bado kodi ya kuingia chooni, kila choo cha nyumbani kiwe na mashine ya kulipa kodi.
Serikali ya chizi magufuli ilipor korosho za wakulima.Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.
Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?
Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.
Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.
Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa
Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
Ulichopost hapa kinamahusiano gani na mada husika?Serikali ya chizi magufuli ilipor korosho za wakulima.
Serikali ya chizi magufuli lilinunua ndege kwa kuwaita watengeneza ndege chumbani huku raisi Akikalia sheria ya manunuzi matakoni mwake
Anaupiga mwingi!Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.
Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?
Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.
Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.
Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa
Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
Na hapo wameshusha ushuru kwenye madini. Tumepigwa.Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.
Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?
Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.
Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.
Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa
Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
Anakula tende MuscatAnaupiga mwingi!
Wew inaonyesha kabisa ni mwiz au kuna sehem nyeti ulikuwa unpiga ukanyangsnywa kitengo.Serikali ya chizi magufuli ilipor korosho za wakulima.
Serikali ya chizi magufuli lilinunua ndege kwa kuwaita watengeneza ndege chumbani huku raisi Akikalia sheria ya manunuzi matakoni mwake
Unazijua kampuni ngapi zinazoiba huko Bahari kuu?Bila hata aibu waziri mwenye Phd ya uchumi anapendekeza kuwa kuwe na ada ya vig'amuzi. Yaani unawakamua wananchi amabao nao wanalipia kupata matangazo ya TV kwa tabu hii ni akili mbovu na unyama usiofaa.
Kwa nini tusidhibiti makampuni ya kigeni yanayoiba mapato ya taifa letu kwa kukwepa kodi huko bahari kuu?
Kampuni nyingi tu za kigeni zinavua kwa wizi huko bahari kuu. Na hizi zikidhibitiwa zitaweza kuongeza mapato ya taifa kuliko kuonea wananchi kwa tozo za vig'amuzi.
Mwigulu ni waziri asiyefaa ndio maana alitunanga tuhamie Burundi. Ana roho mbaya sana.
Nini hiki?
👇
Mwananchi › kitaifa
Serikali yapendekeza ada kwenye ving'amuzi - Mwananchi
Yaani unachukua section ambayo ina maelezo clear kabisa kwamba Serikali inataka kudhibiti utoroshaji na kuchochea shughuli za uzalishaji madini na mwisho kuongeza mapato..
Wewe Muongo na Pambe la Bi Tozo tu.Yaani unachukua section ambayo ina maelezo clear kabisa kwamba Serikali inataka kudhibiti utoroshaji na kuchochea shughuli za uzalishaji madini na mwisho kuongeza mapato..
Ndio maana China huwa haitoa nafasi kwa mburula kuhoji bila hivyo hakuna maendeleo wangepata...
Ulivyo mpumbavu unashindwa hata kujua kwamba viwanda 3 vya kusafisha madini vimekosa malighafi kwa sababu ya Kodi hii ambayo serikali inaipunguza..
Nimesoma na bado nasona nikiwa Tanzania. Sijawahi kuwa mwizi wa nchi kwa namna yoyote ile. MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI MPUUZI.Wew inaonyesha kabisa ni mwiz au kuna sehem nyeti ulikuwa unpiga ukanyangsnywa kitengo.
Sukuma gang . Ana nonongwa huyu. Sana ataishia kutukana wazazi wako.Unazijua kampuni ngapi zinazoiba huko Bahari kuu?
Unaweza tusaidia kudhibiti?
King'amuzi ni chakula hadi utoe mapovu hivi?