Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Hafai kabisaMimi tangu anateuliwa huyu jamaa kwenye hiyo Wizara, nilijua moja kwa moja cha moto tutakiona.
Na huu ndiyo ukweli mchungu! Akiachwa kwenye hii Wizara mpaka 2025, basi wananchi wengi watafika wakiwa wamechoka sana.