blackstone
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 128
Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi
Je wajiona kiongozi au mfuasi,mcha dini au mpagani,mpenda amani au mleta machafuko,mpenda watu au mchukia watu,tajiri au maskini,mshindi au mshindwa,mpambanaji au mtegemea cha nduguye,mbunifu au wakuchukua vilivyoandaliwa,msomi au mbumbumbu,muoaji au mpenda papuchi
Haijalishi jamii inakuonaje wewe wajionaje.Tunapoanza mwezi huu mpya piga kazi kwa bidii hata kama hukufanikiwa miezi yote kumi iliyopita huu mmoja unatosha sana kukusukuma hatua moja mbelee..JIAMINI
Wako mtukufu Amiri jeshi mkuu wa mawe yote duniani ila sio walilokataa waashi jiwe jeusi (blackstone)