Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika anatufahamu vizuri sana sisi Watanzania tuko kama wanyama, akili zetu na za wanyama ni sawa labda kitokee kizazi kingine.Kwa sasa ukitetea au kupaza Sauti juu ya kinachoendelea na wewe unakuwa kwenye Target List.
Mbunge mmoja wa viti Maalum alitoa hoja juu ya kukithiri watu kuuawa, kupotezwa, kutekwa na watoto wakiwemo. Lakini kwa Mshtuko Mkubwa Dr Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ww Tanzania hakulipa Umuhimu jambo hilo na kudai kuwa Habari za utekaji hazijamfikia rasmi hivyo hana sababu ya kulipa kipaumbele kwenye Meza yake ya Uspika.
Ndani ya wiki hiyi hiyo moja waathrika wa Kadhia hii wakiwemo watu wenye mapenzi Mema na Mawakili waliwakilisha malalamiko yao kisheria kupitia mifumo ya Utoaji Haki wakilenga Mahakama zitoe Maelekezo Muhimu na mwongo juu ya kukabiliana na hali hii kupitia vyombo vya Usalama na Polisi.
Hata hivyo matokeo ya usikilizwaji wa maombi hayo yaliwavunja moyo watanzania wengi kwa namna Majaji wa Mahakama walivyochukulia jambo hilo kwa wepesi sana huku likigharimu Uhai wa Watanzania siku hadi siku.
Kabla Week haijaisha watekelezaji wa vitendo vya kinyama wamefanya tena. Je bado Mahakama nq Bunge wanasubiri tena taarifa Rasmi?
Soma Pia:
Tofautisha hali walikozitoa nchi zao na walivyozituliza na Watu wanaishi kwa amani.Mbona pk na m7 wanaishi vizuri tu
DaahHakuna spika pale
Ova
Imejaa taabu na shidaSafari ndefu ya haki na demokrasia.
Inaonekana .......wala hana habariHuyo hayuko upande wa wananchi
Ova