Haijapita Hata Wiki Tangu Spika Tulia Ackson na Mahakama Kuu kusema Habari za Utekaji ni dhana tu

Spika anatufahamu vizuri sana sisi Watanzania tuko kama wanyama, akili zetu na za wanyama ni sawa labda kitokee kizazi kingine.

 
Mbona pk na m7 wanaishi vizuri tu
Tofautisha hali walikozitoa nchi zao na walivyozituliza na Watu wanaishi kwa amani.
Tanzania CCM wanawaza kumwaga damu kuliko kufanya uchaguzi wa huru.
Mitano tena inawatoa imani CCM mpaka wanamkufuru Mungu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…