Haijawahi kutokea rap song kali Afrika kama ya Father Nelly

Haijawahi kutokea rap song kali Afrika kama ya Father Nelly

Yes ni ngoma kali sana asa ujumbe usika.

2.Mambo mazuri yapo mbele mbele_dj yusuph

3.waite polisi_Roho saba.
 
Hip Hop tamu nyie mazee, acheni tu.Halafu unashangaa mtu anaacha kupenda hip hop anapenda vitu vya hovyo kama singeli na ile miziki ya wabana pua.

Hip hop ni mawe kuhusu real life,hainaga ku-fake life.
 
Back
Top Bottom