OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 6, 2021 #1 Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
Nimesikiliza hip hop zooote Tanzania,hakuna rap kali kama hii ngoma ya Fr Nelly. Huwa naiskiza mara moja kwa wiki kuitoa kasoro bado sijafanikiwa huu mwaka wa 3.
MastaKiraka JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 5,736 Reaction score 18,648 May 6, 2021 #2 Kifo cha Faza kikawa ndio Kifo cha X-plastaz. Pumzika kwa Amani Faza
Oxx JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 896 Reaction score 1,946 May 6, 2021 #3 Yes ni ngoma kali sana asa ujumbe usika. 2.Mambo mazuri yapo mbele mbele_dj yusuph 3.waite polisi_Roho saba.
Yes ni ngoma kali sana asa ujumbe usika. 2.Mambo mazuri yapo mbele mbele_dj yusuph 3.waite polisi_Roho saba.
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,679 Reaction score 4,283 May 6, 2021 #4 Oxx said: Yes ni ngoma kali sana asa ujumbe usika. 2.Mambo mazuri yapo mbele mbele_dj yusuph 3.waite polisi_Roho saba. Click to expand... usimsahau balozi kwenye hiyo list
Oxx said: Yes ni ngoma kali sana asa ujumbe usika. 2.Mambo mazuri yapo mbele mbele_dj yusuph 3.waite polisi_Roho saba. Click to expand... usimsahau balozi kwenye hiyo list
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 6, 2021 Thread starter #5 uberimae fidei said: usimsahau balozi kwenye hiyo list Click to expand... Ile ngoma ya Balozi ni kama imeimbwa jana. hata swags zake ni current sana
uberimae fidei said: usimsahau balozi kwenye hiyo list Click to expand... Ile ngoma ya Balozi ni kama imeimbwa jana. hata swags zake ni current sana
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 May 6, 2021 #6 Hip Hop tamu nyie mazee, acheni tu.Halafu unashangaa mtu anaacha kupenda hip hop anapenda vitu vya hovyo kama singeli na ile miziki ya wabana pua. Hip hop ni mawe kuhusu real life,hainaga ku-fake life.
Hip Hop tamu nyie mazee, acheni tu.Halafu unashangaa mtu anaacha kupenda hip hop anapenda vitu vya hovyo kama singeli na ile miziki ya wabana pua. Hip hop ni mawe kuhusu real life,hainaga ku-fake life.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 May 13, 2021 #7 Hiphop haiuzi