Ni kweli kabisaKwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa.
Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo.
Najua kuna watu watasema ubora wa timu au ufadhili wa makampuni kama GSM nk..umefanya ligi kuwa ngumu..lakini ikumbukwe hizi timu mbili kubwa hazina njaa ya udhamini kiasi cha kufanya timu iyumbe.
Ni wakati wa Yanga kuwa juu kama ilivyokua kwa Simba...kuimba kupokezana.
kutesa kwa zamuKwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa.
Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo.
Najua kuna watu watasema ubora wa timu au ufadhili wa makampuni kama GSM nk..umefanya ligi kuwa ngumu..lakini ikumbukwe hizi timu mbili kubwa hazina njaa ya udhamini kiasi cha kufanya timu iyumbe.
Ni wakati wa Yanga kuwa juu kama ilivyokua kwa Simba...kuimba kupokezana.
Kaka uko full..Mwaka 1993 Simba ilifika fainali za confederation wakati Yanga wali twaa ubingwa wa Afrika mashariki na Kati. Timu zote zilikua Bora . Haijatokea Yanga Bora kabisa Tangu Ile ya 1993 mbaka Leo.
1.Steven Memes
2. Mwanamtwa Kiwelu
3.Keny Mkapa
4. Willy Mtendawema
5.Issa Athuman
6.Method Mogela
7.Zamoyoni Mogela
8.Steven Mussa
9.Said Mwamba
10.Mohamed Hussein
11.Eddybill Lunyamila
Sub
1.Rifat Said
2.David Mwakalevela
3. Hamis Gaga
4.Abubakar Salum
5.Willy Martin
Siba guvu moya"siba tachukua kobe"
By baba mudi"
Ni kweli kabisa, kipindi hiki timu zote mbili zilikuwa Bora kabisaMwaka 1993 Simba ilifika fainali za confederation wakati Yanga wali twaa ubingwa wa Afrika mashariki na Kati. Timu zote zilikua Bora . Haijatokea Yanga Bora kabisa Tangu Ile ya 1993 mbaka Leo.
1.Steven Memes
2. Mwanamtwa Kiwelu
3.Keny Mkapa
4. Willy Mtendawema
5.Issa Athuman
6.Method Mogela
7.Zamoyoni Mogela
8.Steven Mussa
9.Said Mwamba
10.Mohamed Hussein
11.Eddybill Lunyamila
Sub
1.Rifat Said
2.David Mwakalevela
3. Hamis Gaga
4.Abubakar Salum
5.Willy Martin
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24
Anarudi anakuta Simba ina point 25
Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
Kimepanuka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha wanajiita kikosi kipana
Kimepanuka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni YANGA SC pekee.Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa.