Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kweli wananchi wana heshima zao

Ufuatao ni Mkwanja mrefu watakaovuna wananchi baada ya kubeba ubingwa

Bonus za Azam tv maudhui= Tsh 3billion

Bonus ya haki ya matangazo ya Azam =Tsh. 500 milion

Bonus GSM = Tsh. 100 milion

Bonus Taifa gas = Tsh 50 million

Total = Tsh. 3billion na million 750

But kumbuka bado pesa ya mdhamini mkuu NBC hajaweka pesa yake

GENTAMYCINE

FB_IMG_16529751072361836.jpg

Screenshot_20220519-184434.jpg
 
Mkataba wa bilioni 3 ni kwa mwaka mmoja? Kama sio mwaka mmoja basi chukua billion 3 igawe kwa miaka ya mkataba
 
Mkataba wa bilioni 3 ni kwa mwaka mmoja? Kama sio mwaka mmoja basi chukua billion 3 igawe kwa miaka ya mkataba
Yaaaah mkataba upo hiv....Kama watafanya vizuri ndani ya miaka kumi......watavuna 40billion
 
Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na baba yake manara sasa hizo ndo pesa nyingi si anapewa anayeongoza makundi tu CAF champion's league na bado na bonus juu kenge nyie wazee wa 0.5.
 
kolo kafika makundi kapama 600million kafika robo kapata 800million
Kweli wananchi wanaheshima zao ......ufuatao ni Mkwanja mrefu watakao vuna wananchi baada ya kubeba ubingwa

Bonus za azam tv maudhui= Tsh 3billion

Bonus ya haki ya matangazo ya Azam =Tsh. 500 milion

Bonus GSM = Tsh. 100 milion

Bounus Taifa gas = Tsh 50 million

Total = Tsh. 3billion na million 750

But kumbuka......bado pesa ya mdhamini mkuu NBC hajaweka pesa yake

NB...je low performance ya MAKOLO imeletwa na kocha, wachezaji wazee, au uwekezaji m.bovu?

GENTAMYCINE

View attachment 2230716

View attachment 2230708

kabeba mapinduzi na bado atapata pesa ya mshindi wa pili wa ligi na bado azam federation atabeba yani mpaka hapo kwa halaka halaka kolo yuko juu ya uto kwa swala la pesa iliyo ingia mwaka huu
 
Kweli yanga mwenye akili ni kikwete na baba yake manara sasa hizo ndo pesa nyingi si anapewa anayeongoza makundi tu CAF champion's league na bado na bonus juu kenge nyie wazee wa 0.5.
CAF mlipewa milion 600.....
 
Back
Top Bottom