Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

Haijawahi tokea: Mkwanja watakaovuna Yanga SC wakibeba ubingwa

kolo kafika makundi kapama 600million kafika robo kapata 800million


kabeba mapinduzi na bado atapata pesa ya mshindi wa pili wa ligi na bado azam federation atabeba yani mpaka hapo kwa halaka halaka kolo yuko juu ya uto kwa swala la pesa iliyo ingia mwaka huu
Federation ipi tena wajameni?
 
Una hasira? Kwani na nyinyi si mlishapata zile milioni zenu 10, sijui 20! za kombe la mapinduzi! Sasa ni zamu yetu na sisi kuvuna mamilioni kwenye Ligi kuu na pia Kombe la shirikisho la Azam.
Amepaniki[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom