Kila kitu kipo wazi....... WANANCHI Wana mikataba na Azam, taifa gesi, GSM etcBonus bilion 3 ???? Kwa misingi ipi.???
Ufafanuzi please
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Bonus bilion 3 ???? Kwa misingi ipi.???
Ufafanuzi please
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Nimewahi kabla ya makoloz kuja kuvamia na kuacha kuzungumzia mada.Auto corrector mkuu...[emoji23][emoji23]
Kweli wananchi wanaheshima zao ......ufuatao ni Mkwanja mrefu watakao vuna wananchi baada ya kubeba ubingwa
Bonus za azam tv maudhui= Tsh 3billion
Bonus ya haki ya matangazo ya Azam =Tsh. 500 milion
Bonus GSM = Tsh. 100 milion
Bounus Taifa gas = Tsh 50 million
Total = Tsh. 3billion na million 750
But kumbuka......bado pesa ya mdhamini mkuu NBC hajaweka pesa yake
NB...je low performance ya MAKOLO imeletwa na kocha, wachezaji wazee, au uwekezaji m.bovu?
GENTAMYCINE
View attachment 2230716
View attachment 2230708
Yanga na simba wanachangia mganga hivyo lazima mmoja ashuke mwingine apande...Kila kitu kipo wazi....... WANANCHI Wana mikataba na Azam, taifa gesi, GSM etc
40 billion ukigawanya kwa kumi si unapata 4 billion nasio 3 billion.Yaaaah mkataba upo hiv....Kama watafanya vizuri ndani ya miaka kumi......watavuna 40billion