Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mshika pembe wake ..Huyo dogo Diamond sijui kamfanya nini.. Au sijui ndio watu wa diamond wa mitandao
Muhando huyu huyu rose muhando muimbaji wa mziki wa injili au Albert msando wakili?
Atakuwa mshika pembe wake ..
Usitegemee mambo kuisha kirahisi hivyo yangeshaisha mbona. Albert Msando mwanasheria wao yupo vizuri alimtoa knock out Lissu mchana kweupee.
show za wapi? Darlive?Hiyo hela ni ya shows tano tu kwa Diamond.
Hakukuwa na mkataba.Najaribu kufikiria ni calculation za hiyo loss zimeendaje, kwa sababu sidhani kama hata actual inaweza kufika Mil 200.
Dah wewe jamaa unampenda sana Diamond.. Huu sio ushabiki haya ni mahaba.
Kwani unaujua utajiri wa AY wewe? Akiongeza hiyo B? Punguza mahaba mkuu wewe mtoto wa kiume, watu tunamkubali Chibu ila sio kiivyo.
Watumiaji wa tigo ndio mtakao lipa hiyo bilioni 2
Tigo wamekata rufaa.Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zotvufaa yaweza kwenda upande wa tigo
Tigo wamekata rufaa.Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zotvufaa yaweza kwenda upande wa tigo
Hakukuwa na mkataba.
Waliuza mia 5,2000,au 7,000,000 hiyo sio hoja.
Nani anajua waliuza ngapi wakati hakukuwa na makubaliano?
Hapo ndo hoja ilipo.
Hata Bell 9 anafanya shoo na kuuza nyimbo, je linapokuja swala la ni nani msanii mwenye mkwanja mrefu tutamuingiza kisa nae anafanya shoo na kuuza nyimbo ?????Kwani AY yeye hafanyi show na kuuza nyimbo??
Mkuu soma attachmentSikuona hii habari wameenda court kuishtaki tigo kwa kosa gani wadau...?.
Kwani kuna uzi ulishaletwa hapa jamvini.
Kwani wewe unayemponda kila unapoona uzi unao muhusu yeye amekufanya nini ......... au wewe ni ali kiba.Huyo dogo Diamond sijui kamfanya nini.. Au sijui ndio watu wa diamond wa mitandao