Haijawahi tokea, Mwana FA na AY kulipwa bil 2 tshs na Tigo

Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zote rufaa yaweza kwenda upande wa tigo
 
Usitegemee mambo kuisha kirahisi hivyo yangeshaisha mbona. Albert Msando mwanasheria wao yupo vizuri alimtoa knock out Lissu mchana kweupee.

Mkuu figure zinahitaji justification, case za namna hii hazimalizwi kama kesi za kisiasa, hutakaa ulipwe zaidi ya ambacho ungekipata kama ungeuza mwenyewe, labda labda itapigwa % fulani zaidi ya kile unachostahili.

Na nina uhakika hawa jamaa kwa kesi hii wakipata mil 400 washukuru Mungu, tena waichukue fasta fasta.
 
Safi sana. Kumuwajibisha mtu kisheria kunalipa kuliko kulalamika. Wasanii wengine wachukue hii.
 
Dah wewe jamaa unampenda sana Diamond.. Huu sio ushabiki haya ni mahaba.

Kwani unaujua utajiri wa AY wewe? Akiongeza hiyo B? Punguza mahaba mkuu wewe mtoto wa kiume, watu tunamkubali Chibu ila sio kiivyo.

Ni kweli nina MAHABA na DIAMOND (nadhani haikuzuii wewe kulala wala kunywa maji) lakini pia ninaelewa ninachoongea kuhusu yeye sikurupuki, nitaongea pointi na wewe zipinge kwa hoja na si kwa stairi ya msuto lazima nitakulaza tu.

Kwahiyo wewe unaujua utajiri wa A.Y na Mwana F.A ndio maana unasema watakuwa WASANII MATAJIRI E.A kwa kuwa tu wanapata bilioni si ndio??? (uweke hapa ili tuone kweli akipata bil 1 atakuwa tajiri wa E.A KWA UPANDE WA WASANII)
 
Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zotvufaa yaweza kwenda upande wa tigo
Tigo wamekata rufaa.
But ukweli ni kwamba walitumia nyimbo zao bila mkataba.
So Court of appeal itachofanya labda nikurekebisha tu viwangoviwango vya
 
Tatizo la Watanzania husoma kichwa cha habari peke yake
Tigo lazima watakata rufaa na siku zotvufaa yaweza kwenda upande wa tigo
Tigo wamekata rufaa.
But ukweli ni kwamba walitumia nyimbo zao bila mkataba.
So Court of appeal itachofanya labda nikurekebisha tu viwangoviwango vya
 
Hakukuwa na mkataba.
Waliuza mia 5,2000,au 7,000,000 hiyo sio hoja.
Nani anajua waliuza ngapi wakati hakukuwa na makubaliano?
Hapo ndo hoja ilipo.

Sasa ni lazima ufanye justification wewe mlalamikaji, mahakama inaweza kuwaamuru Tigo walete hesabu zao za mauzo ili ibainishe ni kiasi gani kilipatikana hapo.

Then itatumika fair price kufanya mahesabu na kujua ni kiasi gani kinatakiwa kulipwa kwa kina AY na FA, ni kazi sana haya mahesabu.
 
Kwani AY yeye hafanyi show na kuuza nyimbo??
Hata Bell 9 anafanya shoo na kuuza nyimbo, je linapokuja swala la ni nani msanii mwenye mkwanja mrefu tutamuingiza kisa nae anafanya shoo na kuuza nyimbo ?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…