Sijakuelewa mkuu hebu fungua hizo code,,watanzagiza wamegawanyika sehemu sehemu kubwa 2, muslims au mila mila and asilimia ndoogo sana Christian, na mila mila ni de facto muslim, na ndiyo maana wanatawaliwa na kupagazwa na foreign muslims kama rostamu au zanzibaris ...
Hiyo ingekuwa ndio sababu basi ndoa zote zingevunjwa kwa sababu hiyo hiyo moja. Alafu mhusika hajasema sababu ya yeye kuachana na mzazi mwenzie. Why are you making up stories??Mwanamke ameolewa akiwa chuo IFM, alikuwa hajaichezesha, amepata hela na umaarufu, fungua code mwenyewe.
Talaka imetoka mahakamani, nakala ya hukumu ni public document, unataka na ya wazazi wako iwekwe hapa?Hiyo ingekuwa ndio sababu basi ndoa zote zingevunjwa kwa sababu hiyo hiyo moja. Alafu mhusika hajasema sababu ya yeye kuachana na mzazi mwenzie. Why are you making up stories??
Information nyingi huna, jitahidi kuishi na watu uelimike na umjue Magesa ni nani mjini.Mbezi garden ni ya Familia ya kina Haika.Baba yao aliwaachia alipofariki dunia. Magesa kaikuta hiyo hoteli kwenye hiyo familia.
Labda ya wazazi wako.unataka na ya wazazi wako iwekwe hapa?
Talaka ni uthibitisho wa kuachana sio chanzo. Au mimi sielewi?Talaka
Sahihi kabisa mara nyingi kufahamu chanzo sio rahisi bali talaka ndio matokeoTalaka ni uthibitisho wa kuachana sio chanzo. Au mimi sielewi?
Wabongo wanapenda sana ubuyu 😂😂Mambo yao waachiwe wenyewe...
Usiogope ndoa, cha muhimu ni kama upo na mali nyingi na unataka kulinda mali zako ikiwa ndoa itavunjika basi cha kufanya ni tafuta mwanasheria na ujifunze kitu kinaitwa prenuptial agreement kabla ya kuingia kwenye ndoa.Ikifika hapa ndio utajua TEAM KATAA NDOA WANA FACTS. Hapo huyo mjuba hajataka kutueleza namna walivyopiga pasu mali za ndoa "Merital properties". Hapo huyo bidada kaondoka na settlement ya maana, mali na biashara bila kujali nguvu yake katika kuchuma hizo mali. Kapata mali kwa kuhama "by induction"
Nje ya mada: Taraka ni wizi kwa mwanaume. Hongera sana Haika, unapiga hesabu zako vizuri. Kina manka, haika ni mabingwa wa hizi kazi. Oa tena mkali, uibiwe tena.
Wanastahili pongezi kubwa!duh miaka 21 kwenye ndoa huu n uhaini
Kbsa hasa, huwa nasema mwanamke bikra ukimuoa ni hatari sana , akianza kucheza nje ananasia huko na haoni Hatari kbsa ,Hawa watto wamesoma FEZA , ni wanafunzi bora Tanzania na pia ni wapo vyuo vikubwa Ulaya kuiwakilisha Tanzania.
Mama yao ni mmilii wa Mbezi Garden , wamegawana na mume baada ya kuachana lakini ni muhimu sana kwa wanaume kuwa makini na hizi ndoa za kuoana mkiwa chuo, unakuta binti ni bikra ama wewe ndio mwanaume wa pili kupita hapo, ikifika siku DUNIA IKAMFUNGUKIA mnaachana maana atakutana na fupi, ndefu, nyembamba na nene.
Huyu magesa SI ndo alikuwa anajiita Kosovo? Kama ni yeye naikumbuka ila gari ya bighorn., alikuwa anaiiubali sana kuliko gari zake zote.Information nyingi huna, jitahidi kuishi na watu uelimike na umjue Magesa ni nani mjini.
Jifunze kuwa objective na usiwe judgemental kwenye mijadalawatanzagiza wamegawanyika sehemu sehemu kubwa 2, muslims au mila mila and asilimia ndoogo sana Christian, na mila mila ni de facto muslim, na ndiyo maana wanatawaliwa na kupagazwa na foreign muslims kama rostamu au zanzibaris ...
Mhenga mwenzangu, chers!Huyu magesa SI ndo alikuwa anajiita Kosovo? Kama ni yeye naikumbuka ila gari ya bighorn., alikuwa anaiiubali sana kuliko gari zake zote.
Waumini wa Yesu wana migogoro mingi kwakuwa wao wana amini mke mmoja mume mmoja wakati wale wanao amini Mtume wana oa mpaka wake wanne, hivyo mke huyu akileta shida anakwenda kwa mwengine.Jifunze kuwa objective na usiwe judgemental kwenye mijadala
Kama una urafiki lawyer muulize ni ndoa za watu Gani zenye migogoro zipo mezani pale. Zikisubiri uamuzi wa mahakama?
Unaweza pia tembelea kile kituo Cha mahakama jumuishi pale temeke
Mm kama mtu niliyefanyia kazi hayo maswala nakukatalia mpaka kesho ukweli ni kwamba hao wanaomwamini yesu ni waumini pia wa Mali kuliko utu.Waumini wa Yesu wana migogoro mingi kwakuwa wao wana amini mke mmoja mume mmoja wakati wale wanao amini Mtume wana oa mpaka wake wanne, hivyo mke huyu akileta shida anakwenda kwa mwengine.