M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Chanzo cha talaka? Nadhani ndiyo swali hasa, what exactly transpired mpaka kufikia kupeana talaka.Talaka
Chanzo cha talaka? Nadhani ndiyo swali hasa, what exactly transpired mpaka kufikia kupeana talaka.Talaka
Ila mumewe ameoa tenaIkifika hapa ndio utajua TEAM KATAA NDOA WANA FACTS. Hapo huyo mjuba hajataka kutueleza namna walivyopiga pasu mali za ndoa "Merital properties". Hapo huyo bidada kaondoka na settlement ya maana, mali na biashara bila kujali nguvu yake katika kuchuma hizo mali. Kapata mali kwa kuhama "by induction"
Nje ya mada: Taraka ni wizi kwa mwanaume. Hongera sana Haika, unapiga hesabu zako vizuri. Kina manka, haika ni mabingwa wa hizi kazi. Oa tena mkali, uibiwe tena.