Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Haika Lawere wa 'Mbezi Garden' apewa Talaka

Kama ndo huyu aliekua anaongea hapa basiiiii sababu za kupewa talaka zishajulikana. In short wanaume tuna maadui wengi sana, tutafika tumechoka sana. Robert Heriel Mtibeli toa neno Mkuu, wewe ndo mtetezi wetu tunakutegemea.
View: https://www.instagram.com/reel/DZTbnKysvpP/?igsh=dDd0NDgwZ2cyMXBr

Huwezi jua labda walipishana mzee baba alitaka na yeye awemo kwenye umiliki wa Mbezi Garden ambayo kaikuta na Haika kamtolea nje umiliki. Sijamjudge mtu hapo ila hizi ndoa zina mambo mengi sana. Ila jamaa nimeona kavuta kitu tayari na kaivisha pete ya uchumba. Haika atasubiri sana siku hizi wanaume wamewashtukia singo maza wanajipigia na kuingia mitini hawawaoi teehteehteeh.
 
Wanawake wa kaskazini
 
Attachments

  • 20260709_012941.jpg
    20260709_012941.jpg
    432.3 KB · Views: 16
Hivi kwanini wakishapigwa chini wanajitutumua ili tuwaone wapo normal/sawa? Na kadri wanavyojitutumua ndiyo kama wanatoka nje ya reli ,huyo Shaboka naona juzi juzi akaanza kuwataja wanaume waliokuwa wanamtongoza enzi za ujana wake.
Kwa Mwanamke,mahusiano ngazi ya Ndoa kwake ni kila kitu. Ndoa ikivurugika hawezi kuwa sawa. Hata ajitutumue vipi.
 
Kwa Mwanamke,mahusiano ngazi ya Ndoa kwake ni kila kitu. Ndoa ikivurugika hawezi kuwa sawa. Hata ajitutumue vipi.
Inasikitisha sana ,tatizo wakishaanza kushika vijihela wanajisahau sana wanaona mwanamme kwao si kitu.....Hata mtu akisema kwa kina Haika kulikuwa na hela lakini mwanzo zilikuwa ziyo zake hivyo alihitaji backup sana ya Phares ,alivyorithishwa mali mabega yakampanda juu.
 
Mkuu sio vizuri kuhukumu kama hatujajua 'ukweli wa ndani' kuhusu kuachana kwao.

Hapo kwenye comment yangu,nimejaribu tu kuelezea ukweli ninaouona huku uraiani kwa ujumla wake hususani kupitia majukumu yangu ya kuwahudumia watu kijamii(kiroho).
Mwanamke Ndoa ikivurugika kiukweli huwa hawezi kustahimili. Afya yake hususani ya akili huwa inayumba jumla jumla!

Imagine wapo wanawake pindi ndoa zao zilipovurugika tu na mambo ya Mungu wakaamua kuyatupilia mbali.
Delicate creatures in deed!
 
Back
Top Bottom